SIMBA TAMBO TUPU MSIMU MPYA, KOCHA ATAMBA
KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amewaondoa presha mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia muda walioupata katika kambi yao nchini Uturuki, umewasaidia kuwajenga. Ipo wazi kuwa Simba wanatambua kwamba ni Yanga walitwaa taji la ligi msimu wa 222/23 hivyo kocha huyo amewaandaa vizuri wachezaji wa timu huyo kwa ajili ya msimu ujao. Simba…