BADO KAZI INAENDELEA, HAKUNA KUKATA TAMAA

MIGUSO ya furaha inaonekana kuanza kuyeyuka kwa baadhi ya mashabiki kutokana na timu zao kushindwa kupata matokeo kwenye mechi za Kombe la Shiriksho. Hakika kila mmoja anapenda kuona kile anachofikiria kinafanikiwa na ikiwa ngumu kutokea inakuwa ngumu kuamini. Imeshakuwa hivyo hakuna namna nyingine ya kuzuia kwa sababu mpira ni mchezo wa makosa yule ambaye atakosea…

Read More

HUU HAPA UZI MPYA WA YANGA KIMATAIFA

JANUARI 30,2023 Yanga imezindua uzi wao mpya kwa ajili ya mechi za kimataifa ikiwa imetinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi Februari 12 ina kibarua kwenye mchezo wa kimataifa. Kabla ya kusepa Bongo bado itakuwa na kazi ya kucheza mchezo mmoja wa ligi itakuwa dhidi…

Read More

UCHAGUZI UMEGOTA MWISHO, MAKUNDI YASIWEPO

Murtaza Mangungu ameshinda uchaguzi nafasi ya Mwenyekiti wa Klabu kwa kupata kura 1,311. Tayari kwa sasa uongozi mpya umepatikana na kampeni muda wake umekwisha. Yale yote ambayo ymaetokea kwenye masuala ya uchaguzi pamoja na kampeni ni muhimu kuyafanyia kazi ili kuwa imara wakati ujao. Kwa walioshinda hongereni na tunatambua kwamba mmetoa ahadi kwa wachama na…

Read More

YANGA YAICHAPA RHINO KIFURUSHI CHA WIKI

YANGA imetinga hatua ya 16 bora Kombe la Shirikisho kwa ushindi wa mabao 70-0 dhidi ya Rhino FC kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Vijana wa Rhino Rangers wameshuhudia mabao hayo dakika ya 7 kupitia kwa Dickson Ambundo, Kennedy Musonda dakika ya 15, Aziz KI dakika ya 19, Yannick Bangala dakika ya 26 n kiungo…

Read More

AZAM FC KUKIPIGA NA AL HILAL AZAM COMPLEX

AZAM FC inayonolewa na Kaimu Kocha Mkuu, Kali Ongala, ina kibarua cha kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Al Hila. Mchezo huo wa kimataufa unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Timu hiyo kwa sasa imeweka kambi Dar kwa ajili ya maandalizi ya mechi zake za kimataifa. Mbali na Azam FC pia Al Hilal itacheza na…

Read More

YANGA 5-0 RHINO RANGERS

UWANJA wa Mkapa dakika 45 za mwanzo ubao unasoma Yanga 5-0 Rhino Rangers. Ni mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 32 bora ambapo mshindi atatinga hatua ya 16 bora na Yanga ni mabingwa watetezi. Vijana wa Rhino Rangers wameshuhudia mabao hayo dakika ya 7 kupitia kwaDickson Ambundo, Kennedy Musonda dakika ya 15, Aziz KI…

Read More

TRY AGAIN: SIMBA HATUTAKUWA WANYONGE TENA, FURAHA INARUDI

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba, Salim Abdallah, ‘Tryagain’ amesema kuwa kwa namna ambavyo timu hiyo imejipanga hawatakuwa wanyonge tena bali furaha itakuwa ni mwendelezo. Hayo ameyasema leo kwenye mkutano wa Simba ambao una ajenda 13 ikiwa ni pamoja na ile ya uchaguz mkuu unaotarajiwa kufanyika leo Januari 29,2023. Kiongozi huyo amesema:-“Nawashukuru wanachama…

Read More