
MERIDIANBET YAWALETEA WATEJA WAO ZAWADI BABKUBWA KUPITIA SUPER HELI
Kama hujawahi kusikia habari hii, basi unachelewa. Meridianbet wameamua kuwazawadia wateja wao kwa style ya kipekee kabisa kupitia promosheni mpya ya Super Heli, ambapo simu mpya za Samsung A25 zinasubiri tu kushikishwa washindi. Hii sio ndoto, ni fursa halisi ya kubeba zawadi kabambe, bila longolongo. Kuanzia Julai 1 hadi Julai 31, kila mchezaji wa mchezo…