VIDEO: RICARDO MOMO NA SAKATA LA KARIAKOO DABI

MCHAMBUZI wa masuala ya michezo Bongo, Ricardo Momo ameweka wazi kuwa kuhusu Kariakoo Dabi sheria ifuatwe tu kutokana na yale ambayo yalitokea. Huku akibainisha kuwa kulikuwa na malalamiko kutoka Simba SC ambao nao walibainisha kuwa hawatacheza mechi zao zote majibu yanapaswa kupatiwa na bodi ya ligi taarifa yao iliyotolewa na Yanga SC nao wana malalamiko…

Read More

ISHU YA KIPA BORA YANGA SC YAMALIZA UTATA

UONGOZI wa Yanga SC umebainisha kuwa uwepo wa Djigui Diarra ambaye ni kipa namba moja kwenye timu hiyo kunaongeza somo kwa timu nyingine kutambua namna gani mlinda mlango bora anakuwa. Diarra msimu wa 2024/25 ni namba mbili kwa makipa ambao wamekusanya hati nyingi safi, (clean sheet) akiwa nazo 15 kinara ni kipa wa Simba SC,…

Read More

CHEZA NA UPIGE MAMILIONI SLOTI YA 40 LUCKY SEVENS

Meridianbet unawekeza mtaji mdogo na baadae matunda yake unakuwa bilionea wa maisha yako kwa kucheza mchezo wa kasino ya mtandaoni unaitwa 40 Lucky Sevens unahusu matunda ambapo na unatoa ushindi kila hatua. Jisajili Meridianbet ufurahie ushindi huu. 40 Lucky Sevens ni mchezo wa sloti kutoka kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma “Game Art“. Utapenda…

Read More

SIMBA YAFUNGUKIA ISHU YA MPANZU MKATABA WAKE

WINGA wa Simba SC ambaye ni chaguo la kwanza ndani ya kikosi hicho kinachotarajiwa kucheza mchezo wa hatua ya fainali dhidi ya RS Berkane, Mei 17 2025 anatajwa kuwa kwenye rada za Yanga SC kutokana na taarifa kueleza kuwa yupo hapo kwa mkopo. Baada ya taarifa hizo kuenea uongozi wa Simba SC umebainisha kuwa hakuna…

Read More

YANGA SC 3-0 NAMUNGO FC, JASHO ILIVUJA DAKIKA 90

MCHEZO wa mzunguko wa pili uliochezwa Uwanja wa KMC Complex baada ya dakika 90 ubao ulisoma Yanga SC 3-0 Namungo FC huku jasho likiwavuja wachezaji kwenye kutimiza majukumu yao. Hapa tunakuletea baadhi ya walichokifanya wachezaji wa timu zote mbili katika kutimiza majukumu yao ilikuwa namna hii:- Djigui Diarra  Djigui Diara alisepa na dakika 90 na…

Read More

AZAM FC YAIPIGA MKONO DODOMA JIJI

MATAJIRI wa Dar, Azam FC wamekomba pointi tatu mazima kwa kupata ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Mei 13 2025, Azam Complex. Lusajo Mwaikenda alifungua ukurasa dakika ya 6, Abdul Sopu bao la pili dakika ya 17, Gibril Sillah bao la tatu dakika ya 20, Nasor…

Read More

BOSI SIMBA SC AMETOA ANGALIZO KWA WATANI ZAO WA JADI

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema kuwa kadri wapinzani wao wanavyozidi kuchelewa kucheza na timu hiyo watakutana na wachezaji wakiwa kwenye ubora mkubwa zaidi ya sasa. Mchezo unaofuata kwa Simba SC kwenye ligi ni dhidi ya Yanga SC unaotarajiwa kuchezwa Juni 15 2025 baada ya Bodi ya Ligi Kuu…

Read More

MECHI KALI DUNIANI LEO, MERIDIANBET YAWAPA ODDS ZA KIBABE!

Mechi kali leo hii Duniani zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua kukupatia ODDS za kibabe na machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi za leo. Tukianza na  LALIGA leo hii kuna mitanange ya maana itaendelea ambapo Girona baada ya kupoteza mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa ugenini kusaka ushindi…

Read More