TIRA YAJA NA SULUHISHO HILI KUHUSU MALAMIKO YA WATEJA

OKOKA Mgavilenzi, Meneja Utekelezaji Sheria na kushughulikia malalamiko, Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tazania, (TIRA) amesema kuwa wateja wanaopata matatizo kwenye soko la bima wanachotakiwa kufanya ni kufika kwenye mamlaka na watashughulikia haraka. Mgavilenzi amesema kuwa wametoea elimu kwa Tanzania Insurance Brokers, (TIBA) kwa lengo la kuongeza ufanisi na weledi sokoni kwenye kutoa huduma kwa…

Read More

AZAM FC HAITAKI UTANI, KAZI DAKIKA 270

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa kwenye mechi zijazo watapambana kufanya vizuri kupata pointi tatu muhimu ndani ya uwanja msimu wa 2024/25 ambao una ushindani mkubwa. Funga kazi ndani ya Azam FC kwa Septemba 29 ilikuwa dhidi ya Mashujaa ugenini baada ya dakika 90 ubao wa Lake Tanganyika ulisoma Mashujaa 0-0 Azam FC hivyo…

Read More

NDEGE TATU ZATENGENEZWA TANZANIA

 KAMPUNI ya Airplanes Africa Limited (AAL) yenye makao yake Morogoro, imetangaza kuwa ndege tatu za kwanza zilizotengenezwa Tanzania, zinazojulikana kama Skyleader 600, zimeanza rasmi safari zake ndani na nje ya nchi. Mkurugenzi wa AAL, Bw David Grolig amesema kuwa ndege moja kati ya hizo tatu imetua kwa mara ya kwanza kwenye uwanja Ndege wa Kimataifa…

Read More

SIMBA: UBAYA UBWELA UMEANZA KUFANYA KAZI

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa tayari ubaya ubwela umeanza kufanya kazi kwa vitendo jambo linalofanya wapinzani wao kuanza kutapatata kwenye mechi ambazo haziwahusu kwa namna yoyote ile. Simba baada ya kucheza mechi nne za ligi imekomba 12 ikipata ushindi kwenye mechi zote ambazo ilicheza huku safu ya ushambuliaji ikiwa imetupia mabao 10 ikiwa namba mbili…

Read More

YANGA: MABAO MENGI YANAKUJA, KUNA MTU ATALIA

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa kutokana na mwendo ambao wanakwenda nao ndani ya ligi kuna mtu atalia akiingia kwenye mfumo kutokana na ubora walionao na uwezo wa kutengeneza nafasi. Rekodi zinaonyesha kuwa kwenye mchezo wa kwanza wa Yanga uliochezwa Uwanja wa Kaitaba, Agosti 29 na mwamuzi alikuwa ni William Abel Yanga ilifanya majaribio zaidi ya…

Read More

KMC KUIMARISHA SAFU YA USHAMBULIAJI

KOCHA Mkuu wa KMC Abdihamid Moalin amesema kuwa watafanya kazi kubwa kwenye kuimarisha safu ya ushambuliaji ili kuwa bora kwenye mechi ambazo wanacheza za ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara. KMC mchezo wake uliopita ilikuwa ugenini baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Yanga 1-0 KMC bao la ushindi lilifungwa na…

Read More

MAYELE AKUBALI MUZIKI WA YANGA

FISTON Mayele mshambuliaji wa zamani wa Yanga ambaye kwa sasa anacheza ndani ya Pyramids ya Misri ameweka wazi kuwa mabosi wake wa zamani hao wana timu nzuri inayoonyesha ushindani kutokana na mwendo walionao katika mechi zao. Ikumbukwe kwamba nyota huyo alikuwa chaguo la kwanza chini ya Kocha Mkuu Nasreddine Nabi alikuwa anatajwa pia kuwa kwenye…

Read More

JUMAPILI YA KUFOSI KWA YANGA YAJIBU

JUMAPILI ya kufosi kwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi imejibu kwa kuibuka na ushindi mbele ya KMC mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Huu ni mchezo wa kwanza kwa Yanga kucheza uwanja wa nyumbani baada ya kucheza mechi mbili ugenini kwa kuanza na Kagera Sugar 0-2 Yanga, Ken Gold 0-1 Yanga hizi zote…

Read More

SINGIDA BLACK STARS BADO NAMBA MOJA

SINGIDA Black Stars wamerejea kwa mara nyingine namba moja kwa kuishusha Fountain Gate ambayo iliweka kambi hapo kwa muda ilipopata ushindi kwenye mchezo wake uliopita dhidi ya Kagera Sugar. Sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya JKT Tanzania inawafanya wafikishe pointi 13 kibindoni kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ambao ushindani wake ni mkubwa. Katika…

Read More

GANZI YA MAUMIVU KWENYE UPENDO YAPIGA HODI KIGAMBONI

RASMI ile simulizi ya Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo iliyopata nafasi ya kutoka kwenye gazeti la Championi Jumatano na kusomwa na zaidi ya Watanzania milioni sasa inapiga hodi Kigamboni mji ulitulia huku amani ikizidi kutawala kila kona. Ikumbukwe kwamba hii ni simulizi ya kwanza kuwa kwenye mfumo wa kitabu imeandikwa na Mtunzi Lunyamadzo Myuka, A…

Read More