
WACHEZAJI 24 WALIOTWA TIMU YA TAIFA YA TAZANIA, SAMATTA OUT
MACHI 14 2025 orodha ya wachezaji 24, wanaounda kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, ambacho kitaingia kambini kujiandaa na mchezo wa Kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Morocco imetajwa. Chini ya Kocha Mkuu, Hemed Morocco nahodha Mbwana Samata atakosekana kwa kuwa hayupo fiti kwa mujibu wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF)…