
VIPANDE VIMEANZA KUGAWIKA NDANI YA LIGI KUU BARA
KUNA mgawanyo wa vita ya pande nne kwa sasa ile ya kwanza ni ya ubingwa kwa timu zilizo ndani ya tano bora kinara akiwa ni Yanga mwenye pointi 58 anafuatiwa na Simba pointi 57 hizi mbili zimecheza mechi 22 kila mmoja. Azam FC nafasi ya tatu kwenye msimamo pointi 48, Singida Black Stars nafasi ya…