UKUTA WA SIMBA UNATESEKA KINOMANOMA
WEKA kando suala la kuongoza kwenye Ligi Kuu Bara kwa Simba, rekodi zinaonyesha kuwa ukuta wao unateseka kwenye mechi za ugenini kutokana na kutunguliwa kila wanaposhuka uwanjani. Katika mechi tano ambazo ni dakika 450 Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira ni mechi tatu ilicheza ugenini huku mbili ikicheza ikiwa nyumbani. Ukuta wa Simba chini…