AFRICAN FOOTBALL LEAGUE SIMBA 0-1 AL AHLY
UKIWA ni mchezo wa ufunguzi wa African Football League, mashabiki wa Simba wameshuhudia namna mbinu za Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kikiwa nyuma. Dakika 45 ubao wa Uwanja wa Mkapa unasoma Simba 0-1 Al Ahly Mtupiaji kwenye mchezo huo ambao una ushindani mkubwa kwa timu zote ni Reda Slim aliyetumia makosa ya safu ya ulinzi ya…