
SIMBA NDANI YA DAR,KAMILI KWA MECHI MKONONI
BAADA ya kugotea hatua ya robo fainali msafara wa kikosi cha Simba umewasili salama Dar, leo Aprili 30,2023. Kikosi cha Simba chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kilikuwa na kazi ya kuwavua ubingwa mabingwa watetezi Wydad Casablanca ila ngoma ikawa nzito kwao. Jumla ya penalti 4-3 zimewaondoa kwenye reli Simba baada ya matokeo ya jumla…