EX-WIFE wa Q CHIEF ASIMULIA ALIVYOTOA MIL 100 KUMSAIDIA ASITUMIE ‘UNGA’ – WALIVYOACHANA…

Mwanamama ambaye huko nyuma alikuwa akifanya kazi mbalimbali za kiburudani za kuwapeleka wasanii mbalimbali wa hapa nchini kufanya show nje ya nchi @ukhtydidas na aliyekuwa mke wa msanii wa Bongo Fleva, Q Chief amefunguka mambo mbalimbali aliyoyapitia kwenye maisha yake ikiwemo ishu ya kunyan’ganywa watoto wake na wazungu na kukaa nao mbali zaidi ya miaka…

Read More

AZAM YARIDHIA MAOMBI YA DUBE KUVUNJA MKATABA

Klabu ya Azam FC imeridhia maombi ya mshambuliaji wake Prince Dube ya kuvunja mkataba wake na klabu hiyo ambayo aliyatoa mnamo mwezi Machi. Taarifa ya Wanalambalamba hao imebainisha kuwa hatua hiyo imekuja baada ya mchezaji huyo kutimiza matakwa ya kimkataba kama ilivyoainishwa kwenye vipengele vinavyoruhusu upande mmoja kuvunja mkataba.

Read More

IMEISHA HIYO, MWAMNYETO ANAENDELEA KUBAKIA YANGA

NAHODHA na beki wa kati wa Yanga, Bakari Mwamnyeto jana ameongeza mkataba mwengine wa miaka miwili wa kuendelea kubakia hapo. Mwamnyeto ameongeza mkataba huo, baada ya kufikia muafaka mzuri na Uongozi wa timu hiyo, katika dau la usajili na mshahara atakaouchukua ndani ya miaka miwili atakayokuwepo. Beki huyo alisaini mkataba huo, chini ya Mtendaji wa…

Read More

LOMALISA HUYOOO NAMUNGO FC

BAADA ya kuitumikia Yanga kwa misimu miwili kwa mafanikio, Beki Joyce Lomalisa (31) anatajwa kutua Namungo FC kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho msimu ujao. Lomalisa awali alikuwa anatajwa kujiunga Simba lakini mambo yakaenda tofauti na sasa inaelezwa Namungo inayonolewa na Kocha Mkongomani, Mwinyi Zahera ina mpango wa kumpa mkataba wa miaka miwili…

Read More

MCHAKATO WA LAWI KWENDA SIMBA ULIKUWA HIVI

Beki Lameck Lawi alijiunga na Simba kwa mkataba wa miaka mitatu huku akiahidiwa kupewa Tsh 130,000,000,kama “Signing –On Fee” na pesa hiyo italipwa kwa awamu tatu. Baada ya kusaini mkataba na Simba Lawi alipewa Tsh 100,000,000,kisha akaahidiwa kupewa Tsh 15,000,000 kwenye msimu wake wa pili na wa tatu. Aidha kwenye mkataba wa Lawi na Simba…

Read More

ZORAN MILOSEVIC CEO WA MERIDIANBET! LEO ANAFUNGUKA KILA KITU

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Meridianbet Zoran Milosevic, atakuwa mzungumzaji mkuu katika Siku ya Wawekezaji ya Senzal, moja ya jukwaa muhimu zaidi la wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa duniani. Tukio hili linafanyika leo Jumatano tarehe 26 Juni huko Belgrade nchini Serbia. Jukwaa la Senzal hukusanya wawekezaji na wafanyabiashara, wataalamu wa fedha, na viongozi wa makampuni kama Meridianbet…

Read More