
YANGA:HATUNA MASHAKA KIMATAIFA, TUPO TAYARI
ALI Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amebainisha kuwa hawana mashaka na hatua ya robo fainali waliyofikia zaidi ni hesabu kwenye mechi za hatua hiyo kupata matokeo chanya. Yanga imakamilisha kundi D ikiwa ni namba moja kibindoni ilikusanya pointi 13 huku safu yake ya ushambuliaji ikiwa imetupia mabao 9. Inakibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Rivers…