
KITABU KIPYA KUTOKA KWA MTUNZI WA GANZI KUZINDULIWA JULAI 24
BAADA ya Kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo kupokelewa sokoni kwa mikono miwili kikiingia kwenye orodha ya vitabu vilivyokubalika ndani ya Septemba kuna kazi mpya nyingine inakuja kutoka kwa mtunzi chipukizi ambaye yupo kwenye mikono ya Mtunzi bora wa muda wote Eric Shigongo. Ikumbukwe kwamba Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ilizinduliwa Septemba 24 2024…