
YANGA SC IPO MADHUBUTI KUIKABILI NAMUNGO FC MEI 13 2025
MILOUD Hamdi, Kocha Mkuu wa Yanga SC amesema kuwa wapo madhubuti kuwakabili wapinzani wao Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara mzunguko wa pili 2024/25. Ni mchezo wa mzunguko wa pili unaotarajiwa kuchezwa Mei 13 2025, Uwanja wa KMC Complex saa 10:15 kwa wanaume 22 kupambania pointi tatu muhimu ndani ya dakika 90. Novemba…