
MKATA UMEME SIMBA KUCHOTA MILIONI 350
TULIENI hawa tunao, mkata umeme Sima kuchota milioni 350 ndani ya Championi Jumatatu
TULIENI hawa tunao, mkata umeme Sima kuchota milioni 350 ndani ya Championi Jumatatu
NASREDDINE Nabi Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa ado mchezo haujaisha kwenye anga la kimataifa licha ya kupoteza kweye fainali ya kwanza. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Yanga 1-2 USM Alger ya Algeria. Bao pekee la Yanga limefungwa na Fiston Mayele ambaye anafikisha jumla ya mabao 7 kwenye anga za…
WAKIWA mashuhuda wa ubingwa wa Ligi Kuu Bara ukielekea kwa watani zao wa jadi Yanga, Simba wametusua katika vigongo vitatu vizito. Yanga imetwaa ubingwa wa ligi ikiwa na pointi 74 baada ya kucheza mechi 28 wawa na Simba yenye pointi 67. Ni safu ya ushambuliaji iliyofunga mabao mengi katika hili mastaa wa Simba walipambana kupachika…
ABULEKH Banchikha, Kocha Mkuu wa USM Alger ameweka wazi kuwa mchezo wao wa leo hawatacheza na mshambuliaji Fiston Mayele wa Yanga. Mayele ni kinara wa utupiaji ndani ya kikosi cha Yanga kwenye anga la kimataifa akiwa ametupia mabao sita. Yupo sawa na yule wa Marumo Gallants anayeitwa Ranga Chivaviro lakini timu hiyo imegotea hatua ya…
CLATOUS Chama kiungo mshambuliaji ndani ya kikosi cha Simba ameweka wazi kuwa ikiwa atakosa tuzo ya kiungo bora ndani ya Ligi Kuu Bara kisha wakachukua nyota wengine anaocheza nao ndani ya Simba kwake itakuwa furaha. Simba imegotea nafasi ya pili na vinara ni watani zao wa jadi Yanga chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Yanga…
WASIWASI ni dawa wanasema hivyo hivyo kwa wawakilishi kwenye anga la kimataifa Yanga hampaswi kujiamini kupita kiasi. Mwendo ambao mlianza nao kwenye kila hatua hakika unapaswa kupongezwa na ili uwe na mwendelezo mzuri ni muhimu kupata ushindi leo kwenu Yanga. Moja ya fainali kubwa na ngumu kupata kutokea ni hii hapa kwa kuwa kosa moja…
BEKI wa Yanga Dickson Job ameweka wazi kuwa wanatambua ubora wa wapinzani wao USM Alger na wamejiandaa kufanya kazi nzuri kwenye kuzuia kesho mchezo wa hatua ya fainali Kombe la Shirikisho Afrika, Uwanja wa Mkapa
WAKATI mwingine wa kuendeleza furaha kwa familia ya michezo inakuja siku ambayo Afrika itakuwa ikifuatilia habari za dakika 90. Ni dakika 90 zenye maamuzi ya dakika 90 za mwisho kwa Yanga kwenye mchezo wa fainali ya kwanza hatua ya Kombe la Shirikisho Afrika. Kila mmoja anatambua kazi iliyopo mbele sio ndogo kutokana na ukubwa wa…
MWANAHAMISI Omary, ‘Gaucho’ afungukia kuhusu maisha yake na kile ambacho anapenda kukifanya kila siku kwenye maisha yake. Nyota huyo ni miongoni mwa Legend kwenye Soka la Wanawake na walipokuwa wakikutana na watani zao wa jadi Yanga Princess alikuwa akiwapa tabu ndani ya uwanja.
MAYELE: Hawa USM Alger siwaachi, bosi mpya Simba SC apewa faili la mkata umeme ndani ya Championi Jumamosi
NYOTA Yanga afungukia ishu ya fainali kimataifa ni David Bryson amesema kuwa hawana hofu na wamejiaandaa kwa umakini kwa ajili ya mchezo huo. Yanga inatarajiwa kucheza dhidi ya USM Alger kwenye hatua ya fainali ya kwanza Kombe la Shirikisho Afrika.
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa ka sasa hali ya kiungo wao Hassan Dilunga ambaye hakuwa fiti kutokana na kupambania afya yake imezidi kutengamaa. Kwenye ligi Simba ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi 67 na vinara ni Yanga wenye pointi 74. Yanga wametwaa taji la ligi ikiwa imebakiwa na mechi mbili mkononi. Dilunga hakuwa…
MENEJA wa Liverpool, Jurgen Klopp ameweka wazi kuwa licha ya timu hiyo kukwama kumaliza ndani ya nne bora bado wachezaji walikuwa na ushirikiano mkubwa. Amebainisha kuwa licha ya kukatishwa tamaa kwa kukosa kufuzu kwa soka ya Ligi ya Mabingwa, Klopp amesifu umoja wa wachezaji na wafuasi baada ya kuwa kwenye msimu mgumu. Mshambuliaji Mohamed Salah…
KIUNGO wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi amefungukia kuhusu mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger Waarabu wa Algeria unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Mei 28 Yanga wakianzia nyumbani.
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wanamechi mbili za moto kukamilisha mzunguko wa pili msimu wa 2022/23 kwa kucheza kete zao mbili. Azam FC watacheza mchezo wa fainali Azam Sports Federation dhidi ya Yanga mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Yanga ilipata ushindi dhidi ya Singida Big Stars huku Azam FC ikiwatungua Simba, Uwanja wa…
WAPINZANI wa Yanga kwenye mchezo wa kimataifa unaotarajiwa kuchezwa Mei 28, 2023 Uwanja wa Mkapa wamewasili ardhi ya Tanzania. Ni alfajiri ya leo wamewasili kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. USM Alger ya Algeria ni wapinzani wa Yanga ambao watacheza fainali ya kwanza Uwanja wa Mkapa. Saa…
ISSA Azam acharuka awavaa Yanga kuelekea mchezo wao wa kimataifa Mei 28,2023 Uwanja wa Mkapa