
YANGA SC: MCHEZO WA DABI HAUTAKI MANENO
MILOUD Hamdi, Kocha Mkuu wa Yanga SC amesema kuwa kuelekea kwenye mchezo wao wa Kariakoo Dabi dhidi ya Simba SC wanatambua ugumu wa mchezo huo ambao hauhitaji maneno zaidi ya utendaji kwa wachezaji kutafuta ushindi. Ni mchezo wa mzunguko wa pili msimu wa 2024/25. Katika ule mzunguko wa kwanza baada ya dakika 90 ubao ulisoma…