
KOZI YA WAAMUZI YA VAR YAENDELEA – PICHA
Mkufunzi wa FIFA wa Kozi ya Waamuzi ya VAR (VAR Course Program), Tameer Dorry akiwaelekeza Waamuzi matumizi ya teknolojia ya VAR
Mkufunzi wa FIFA wa Kozi ya Waamuzi ya VAR (VAR Course Program), Tameer Dorry akiwaelekeza Waamuzi matumizi ya teknolojia ya VAR
Jumanne ndio hiyo imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi za UEFA zenye pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. Tukianza na Borussia Dortmund yeye atatunishana mbavu dhidi ya Lille ya Ufaransa ambao wapo nafasi ya 5 kwenye ligi na mwenyeji yupo nafasi ya 10…
NYOTA Steven Mukwala mshambuliaji wa Simba amesema kuwa kazi kubwa ni kupambana kwenye mech izote kupata matokeo mazuri kutokana na ushirikiano ambao upo kwenye timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Kwenye msimamo wa ligi Simba ni namba mbili baada ya mechi 21 imekusanya jumla ya pointi 54 vinara wakiwa ni Yanga inayonolewa na…
ERASTO Nyoni kiraka anayetimiza majukumu yake ndani ya kikosi cha Namungo kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda ameweka wazi kuwa nyota Clatous Chama amebadilika hasa kwenye upande wa spidi ila watu wanamtazama kwa mazoea. Ipo wazi kwamba Chama ni mchezaji wa kwanza kutambulishwa ndani ya kikosi cha Yanga kwenye dirisha kubwa la usajili ilikuwa ni…
Fishtastic ni kasino ya mtandaoni ambayo imeandaliwa na Red Tiger. Mchezo huu una sifa nyingi na bonasi za kasino zenye kuvutia. Waogeleaji watapata ishara za pesa na samaki, na kuna pia mizunguko ya bure Jisajili Meridianbet ufurahie mengi kuhusu mchezo huu. Kasino ya Fishtastic ni mchezo wenye safu tano zilizowekwa katika nguzo tatu na ina…
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally amefungukia ishu ya timu hiyo kufanya makosa kwenye mchezo wao dhidi ya Mzizima Dabi, ishu ya waamuzi na kazi iliyopo mbele kuelekea mchezo dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Machi 8 2025.
NDANI ya Ligi Kuu Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika kuna wakali wakucheka na nyavu ambao wameandika rekodi zao za kusepa na mipira Bongo msimu wa 2024/25. Nyota wa kwanza kufunga hat trick ndani ya ligi ni Prince Dube ambaye yupo ndani ya kikosi cha Yanga huyu alifunga kwenye mchezo dhidi ya Mashujaa,…
MWAMBA Steven Mukwala ameandika rekodi yake ya kuwa nyota wa kwanza kufunga hat trick ndani ya kikosi cha Simba kwa msimu wa 2024/25 ukiwa ni msimu wake wa kwanza. Nyota huyo anayevaa jezi namba 11 alifanya hivyo kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Coastal Union uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid ilikuwa Machi Mosi 2025…
Manchester United imesukumizwa nje ya michuano ya kombe la FA kufuatia kipigo cha penalti 4-3 dhidi ya Fulham kwenye robo fainali katika dimba la Old Trafford. FT: Man United 1-1 Fulham ⚽ 71’ Bruno ⚽ 45+1’ Bassey MATUTA: Man Utd: ✅ ✅ ✅ ❌❌ Fulham: ✅ ✅ ✅✅
Azam FC imesukumizwa nje ya michuano ya kombe la Shirikisho la CRDB (kombe la FA 🇹🇿) kufuatia kipigo cha penalti 4-2 dhidi ya Mbeya City katika dimba la Azam Complex, Chamazi kwenye hatua ya 32 bora ya michuano hiyo. Mbeya City imetinga hatua ya 16 bora. FT: Azam FC 1-1 Mbeya City ⚽ 90+4’ Yahya…
Jumatatu ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. Leo hii LALIGA kutakuwa na mechi kali kabisa kati ya Villarreal dhidi ya Espanyol Barcelona huku timu zote zikiwa zimetoka kushinda mechi zao zilizopita. Mwenyeji yupo nafasi ya 5…
Aliyekuwa kocha mkuu wa Timu ya Taifa Tanzania “Taifa Stars”, Adel Amrouche ametangazwa rasmi kuwa kocha mkuu mpya wa Rwanda “Amavubi”…. Sambamba na Taifa Stars, Amrouche amewahi kuzinoa Burundi,Kenya,USM Alger, Libya, MC Alger, Botswana na Yemen.
Siku hii ya leo tunarejea uwanjani kusaka pesa, ambapo ili kuzipata sasa hizo pesa lazima ubashiri na wakali wa ubashiri Meridianbet. Kuanzia pale Uingereza, mpaka kule Ufaransa mechi za pesa zipo. Ligi kuu ya Hispania LALIGA itarindima kwa mechi kibao ambapo Leganes atamleta kwake Getafe ambapo nafasi ya kushinda leo amepewa mgeni kwa ODDS 2.80…
Mkwaju mpya wa Abigal Chams na Harmonize wa “Me Too” umekuwa na mapokeo mazuri kwa wapenzi wa muziki wa Bongo Fleva, ukitabiriwa kufanya vizuri katika soko la kimataifa hata katika jukwaa la tuzo kubwa duniani za Grammy. Wimbo huo umefanikiwa kufikisha watazamaji 485,000 kwa siku moja kupitia jukwaa la Youtube pekee. Je, Ni kweli wimbo…
Shughuli imemalizika katika dimba la Diego Armando Maradona mjini Naples, wenyeji Napoli wametoshana nguvu na Inter Milan kwa sare ya 1-1 kwenye mechi dume kweli kweli, Inter Milan wakiwa wa kwanza kuliona lango kupitia kwa Federico Dimarco mapema dakika ya 22 kabla ya Philip Billing kusawazisha mambo jioni dakika ya 87. Inter wanaendelea kusalia kileleni…
UWANJA wa Sheikh Amri Abeid, Machi Mosi 2025 kikosi cha Simba kimekuwa na mabadiliko makubwa kwenye kikosi cha kwanza ikiwa ni mchezo mzunguko wa pili. Hiki hapa kikosi ambacho kinatarajiwa kuanza dhidi ya Coastal Union hiki hapa:- Ally Salim David Kameta Nouma Chamou Hamza Jr Kagoma Yusuph Kibu Dennis Mavambo Mukwala Ahoua Mpanzu Akiba ni:-Abel,…
Jumamosi ya kutimiza ndoto zao ndio hii hapa kwani odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet leo na mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. Mbilinge mbilinge zitakuwa kule SERIE A Italia ambapo Atalanta atamleta kwake Venezia ambao ni wa 2 kutoka mwisho. Vijana wa Gasperin wanahitaji ushindi wapande…