
WAPEWA MKONO WA ASANTE AZAM FC
KIUNGO wa Azam FC Keneth Muguna ni miongoni mwa nyota ambao hawatakuwa sehemu ya kikosi hicho kwa msimu wa 2023/24. Raia huyo wa Kenya hajawa na msimu bora ndani ya 2022/23 kutokana na kushindwa kuonyesha makeke yake. Ni shuhuda wa timu hiyo ikipoteza mchezo wa fainali ya Azam Sports Federation kwa ubao wa Uwanja wa…