
FOUNTAIN GATE UKUTA WAO PASUA KICHWA
NDANI ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25 kuna timu mbili ambazo ukuta wao kwenye eneo la ulinzi ni pasua kichwa kwa benchi la ufundi kutokana na kuruhusu mabao mengi uwanjani. Safu ya ulinzi namba moja ambayo imeruhusu mabao mengi ni Fountain Gate ambayo imetunguliwa jumla ya mabao 43 huku safu ya ushambuliaji ya…