
YANGA YATAJA UBORA WA WACHEZAJI WA AZAM FC
KUELEKEA Mzizima Dabi, Oktoba 23,2023 uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa wanatambua utakuwa ni mchezo mgumu kutokana na aina ya wachezaji waliopo ndani ya kikosi cha Azam FC.Ali Kamwe, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Yanga amesema kuwa wanatambua aina ya wachezaji watakaokutana nao kwenye mchezo huo kuwa ni bora. “Wapinzani wetu Azam FC…