
MIAMBA YA KAZI NDANI YA SINGIDA FOUNTAIN GATE
NI Gadiel Michael ndani ya Singida Foutain Gate ana balaa kutoka na uwezo wake wa kupandisha mashambulizi na kulinda pia. Sio hivyo tu uzoefu alioupata ndani ya Simba na Yanga unazidi kumpa nguvu ya kuonyesha makeke yake. Ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu Ricardo Ferreira wa Singida Foutain Gate huenda akaanza pia mbele ya…