YANGA SC YAPIGA MTU 9 KWENYE LIGI

YANGA SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi kwa msimu wa 2024/25 imempiga jumla ya mabao 9-0 mpinzani wake Tanzania Prisons kwenye mechi mbili za ligi katika msako wa pointi tatu. Yanga SC imekomba pointi sita mazima ikijikita kileleni ndani ya ligi ambayo inakaribia kugota mwisho Juni 25 2025. Juni 18 2025 kwenye mchezo wa…

Read More

KENGOLD 0-5 SIMBA SC, LIGI KUU BARA

UBAO wa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi umesoma KenGold 0-5 Simba SC ikiwa ni mchezo wa ligi mzunguko wa pili. Ni Juni 18 2025 mchezo huo umekamilika ambapo kipindi cha kwanza Simba SC ilifunga mabao ndani ya dakika 30 na kipindi cha pili kiungo mshambuliaji Ahoua alipachika bao moja kwenye mchezo huo. Mabao ya Simba…

Read More

KIKOSI CHA YANGA SC KITAKACHOANZA DHIDI YA TANZANIA PRISONS

Kikosi cha Yanga SC vs Tanzania Prisons, Juni 18 2025, Uwanja wa Sokoine, Mbeya hiki hapa:- Djigui Diarra, Israel Mwenda, Boka, Job Dickson, Ibrahim Bacca. Khalid Aucho, Maxi Nzengeli, Mudathir Yahya, Prince Dube, Pacome Zouzoua na Clement Mzize. Hawa hapa wachezaji wa akiba:-Mshery Aboutwalib, Kibwana, Kibabage, Nondo, Juma, Andambilwe, Shekhan, Abuya, Chama, Ikanga Lombo. Imeandikwa…

Read More

KIKOSI CHA SIMBA SC DHIDI YA KENGOLD

Hiki hapa kikosi cha Simba SC dhidi ya KenGold mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi:- Moussa Camara, Shomari Kapombe, Mohamed Hussen, Chamou, Che Malone, Yusuph Kagoma. Kibu Dennis, Mavambo, Leonel Ateba, Jean Ahoua, Ellie Mpanzu. Akiba ni Ally Salim, Duchu, Nouma, Okejapha, Ngoma, Mutale, Mukwala, Awesu, Alex, Bashir. Mchezo huu unatarajiwa…

Read More