
KIUNGO WA KAZI ANASEPA YANGA
INATAJWA kuwa kiungo wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga huenda akasepa baada ya msimu wa 2024/25 kugota mwisho kwa kuwa amepata timu ambayo inahitaji huduma yake kutokana na uwezo alionao. Ni Aziz Ki ambaye ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu wa Yanga, Miloud Hamdi kwenye eneo la kiungo akiwa ni mkali kwenye mapigo…