
MERIDIANBET YAZINDUA MCHEZO MPYA WA KUSISIMUA: GATES OF OLYMPIA
Kampuni ya Meridianbet imezindua rasmi mchezo mpya wa slot unaoitwa Gates of Olympia, kutoka kwa wabunifu wa michezo ya kasino mtandaoni – Expanse Studios. Mchezo huu wa slot umebeba mandhari ya kipekee ya hadithi za Kigiriki na unawaleta wachezaji kwenye safari ya kusisimua katika ulimwengu wa miungu. Ukiwa na muundo wa 6×5, Gates of Olimpia…