
Djigui Diarra Aongeza ya mkataba mpya wa miaka miwili Yanga
Klabu ya Yanga Sc imethibitisha kuwa golikipa Djigui Diarra amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa miaka miwili utakaombakisha klabuni hapo mpaka 2026.
Klabu ya Yanga Sc imethibitisha kuwa golikipa Djigui Diarra amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa miaka miwili utakaombakisha klabuni hapo mpaka 2026.
FT:Ligi Kuu Bara Azam Complex Yanga 1-0 Geita Gold Goal Aziz KI dakika ya 28 Bao moja ambalo amefunga linamfanya afikishe mabao 13 ndani ya Ligi Kuu Bara Aziz KI baada ya kufunga bao moja kwenye mchezo dhidi ya Geita Gold. Yanga ambao ni vinara wa ligi wamefikisha pointi 52 kwenye msimamo mchezo ujao ni…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba usajili walioufanya ni wa viwango vikubwa jambo linalowapa matumaini yakufanya vizuri kwenye mashindano ambayo watacheza kwa kuwa hawakukurupuka. Miongoni mwa wachezaji ambao wamesajiliwa na Yanga ni pamoja na Chico Ushindi, Dennis Nkane,Salim Aboubakhari na Crispin Ngushi. Wachezaji hao wameanza kucheza mechi za ushindani isipokuwa kwa sasa Nkane bado yupo…
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi wapo kwenye maandalizi kuelekea mchezo wa mzunguko wa pili dhidi ya Namungo FC unaotarajiwa kuchezwa Mei 13 2025. Yanga SC ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 70 baada ya kucheza mechi 26 ni ushindi kwenye mechi 23 wakiambulia sare…
DROO ya Kombe la Shirikisho imepangwa nchini Misri ambapo wawakilishi kwenye anga hilo kutoka Tanzania ni Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Simba imepangwa kundi A na ilikuwa POT 1 lililokuwa na Zamalek, RS Berkane, Simba, USM Alger ambazo hizi hazitakuwa pamoja kwenye makundi na POT 2 lilikuwa na ASEC Mimosas, Stade Malien, Al…
RAIS wa Yanga Eng. Hersi Said alfajiri ya Machi 22, 2025 amekamilish Ibada ya Umrah Mjini Makka, Saudi Arabia.
MAYELE: Hawa USM Alger siwaachi, bosi mpya Simba SC apewa faili la mkata umeme ndani ya Championi Jumamosi
Fairy in Wonderland ni mchezo wa sloti kutoka kasino ya mtandaoni inayotendeka katika msitu wa kusadikika, ambako kiumbe mzuri anaingia katika hekaheka na kukutana na Wonderland. Jisajili Meridianbet upige mamilioni kirahisi. Ndani yake kuna kukutana na udadisi kadha wa kadha katika dunia hii isiyo ya kawaida lakini pia vikwazo katika muundo wa mipangilio isiyo ya…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars,Honour Janza, amesema kuwa mechi za kirafiki za kimataifa zilzio kwenye Kalenda ya FIFA zitampa mwanga wa kusuka kikosi imara kwa ajili ya ushindani. Stars inatarajiwa kucheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya Uganda na Libya na zitachezwa nchini Libya na tayari kikosi hicho kimeshatua nchini…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema hawatarudia makosa ambayo walifanya 2021 walipokutana na Rivers United kwenye mashindani ya kimataifa. Septemba 12 2021 kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ubao ulisoma Yanga 0-1 Rivers United na ule wa pili ubao ulisoma Rivers United 1-0 Yanga ilikuwa ni Septemba 19. Kocha huyo ameiongoza Yanga kwenye…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kwamba umeamua kufanya jambo la kitofauti kwa kukodi gari la ulinzi kwenye misafara yao wanapokuwa nchini Afrika Kusini baada ya wageni wao Orlando Pirates kugoma kuwapa huduma hiyo. Jana Aprili 22, wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa ambao ni Simba waliweza kuwasili nchini Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi…
LEGEND Saleh Ally Jembe ni miongoni mwa wale waliokuwa Misri kushuhudia maandalizi ya Simba kuelekea kwenye Ligi Kuu Bara 2024/25 Jembe amezungumzia mchezo mzima kwa kuandika namna hii:- Kisukuma Mutale, maana yake ni mkubwa, ila unatakiwa kuivuta kidogo Mutaale… Huyu Mutale wa Simba kiumbo si mkubwa lakini mambo yake ni makubwa na atakuwa gumzo ninaamini….
CEDRICK Kaze,Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa kwa mechi ambazo zimebaki watapambana kupata pointi tatu muhimu kwa kuwa walizikosa zile za Simba. Kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Aprili 30,2022 Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Yanga 0-0 Simba hivyo watani hao wa jadi waligawana pointi tatu. Akizungumza na Saleh Jembe,Kaze amesema kuwa wana kazi kubwa ya…
Upungufu wa vitamin C mwilini husababishwa na kutokula matunda kwa wingi na mboga za majani, kuliona hilo Meridianbet wamekuja na mchezo wa matunda-Blazing Heat utakaongeza vitamin ya maisha yako kutokana na maokoto mengi. Blazing Heat ni mchezo wa sloti wa kasino ya mtandaoni uliotengenezwa na mtayarishaji Redstone. Hakuna cha kushangaza sana katika mchezo huu wa…
KOCHA Mkuu wa Yanga Mtunisia, Nasreddine Nabi katika ripoti yake ameagiza kila nafasi ya mchezaji wa kigeni lazima awepo mbadala wake mzawa mwenye uwezo mkubwa kama wake. Yanga tayari imefanikisha usajili wa wachezaji watatu wazawa katika usajili wao wa dirisha dogo lililofunguliwa Desemba 16, mwaka huu ambao unaendelea. Wachezaji hao wapya waliosajiliwa ni Salum…
YANGA inapiga, Mayele ilibaki kidogo apige hat trik mbele ya Dodoma Jiji, Uwanja wa Liti, Novemba 22 wakati akitupia mabao mawili