Weka Jamvi na Utusue na Meridianbet Leo

Jumamosi za leo ni za kibabe sana ambapo mechi kibao zitapigwa katika ligi mbalimbali na tayari meridianbet wamekuwekea ODDS za maana na machaguo mengi. Suka mkeka wako wa nguvu uondoke na maokoto ya maana leo. Ligi kuu ya Ufaransa LIGUE 1, baada ya kuendelea hapo jana, leo hii pia kuna mechi zitapigwa ambapo Stade Reims…

Read More

BALEKE, CHAMA KWENYE KAZI NYINGINE

CLATOUS Chama, Jean Baleke na Saido Ntibanzokiza baada ya kutimiza majukumu yao kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali wakishuhudia ubao wa Uwanja wa Azam Complex ukisoma Simba 5-1 Ihefu leo wana kazi nyingine kusaka ushindi. Mchezo wa leo ni wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Highland Estate ikiwa ni mzunguko wa pili ule wa…

Read More

SIMBA:TUTAJARIBU KUSHINDA LEO KIMATAIFA

PABLO Franco,Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa leo watajaribu kushinda mbele ya Orlando Pirates kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho. Saa 1:00 usiku, wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa ambao ni Simba wana kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Orlando Pirates. Huu ni mchezo wa hatua ya robo fainali ukiwa ni wa pili baada…

Read More

KIUNGO YANGA AINGIA ANGA ZA AZAM FC

IMEELEZWA kuwa kiungo wa kazi aliyewahi kucheza ndani ya Yanga, Mukoko Tonombe yupo kwenye rada za mabosi Azam FC ili kuweza kuinasa saini yake. Nyota huyo ni miongoni mwa wachezaji ambao waliweza kufanya vizuri ndani ya Yanga msimu uliopia wakati timu hiyo ilipomaliza ikiwa nafasi ya pili. Pia alikuwa kwenye kikosi ambacho kiliweza kutinga hatua…

Read More

KIMATAIFA:SIMBA 1-0 ASEC MIMOSAS

BAO la Pape Sakho dakika ya 12 linawafanya Simba kuelekea katika vyumba vya kubadilishia nguo wakiwa mbele. Ni mchezo wa kwanza hataua ya makundi ambapo ni msako wa pointi tatu muhimu. Itabidi wajilaumu wenyewe ndani ya dakika 45 kwa kukosa nafasi tatu za wazi ambazo wametengeneza kwa kushindwa kuzibadili kuwa mabao. Nafasi moja ilikoswa na…

Read More

HII HAPA REKODI TAMU ILIYOWEKWA NA JEMBE

NI Saleh Ally Mhariri, Mtendaji wa Global Publishers na mwandishi mahiri wa habari za michezo, ameweka rekodi ya kuwa mwandishi wa Habari wa kwanza Tanzania kuchaguliwa na FIFA kupiga kura ya kumchagua mchezaji bora wa FIFA wa Dunia. Saleh Jembe amechaguliwa na FIFA kwa mara ya tatu wiki iliyopita, katika kitengo cha waandishi wa habari….

Read More

CHAMA MIKONONI MWA BARBARA SIMBA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa, ishu nzima ya usajili wa majembe mapya kwenye kikosi cha timu hiyoakiwemo kiungo Mzambia, Clatous Chama kwa sasa inashughulikiwa na Ofisa Mtendaji Mkuu Barbara Gonzalez.Chama aliuzwa na Simba miezi minne iliyopita na kujiunga na RS Berkane ya Morocco akisaini mkataba wamiaka mitatu unaotarajiwa kukamilika 2024. Akizungumza na Spoti Xtra,…

Read More