NUSU FAINALI YA KIBABE HII MAPINDUZI 2024

MSHAMBULIAJI wa Simba Jean Baleke kwenye kutimiza majukumu yake Mapinduzi 2024 alifunga bao pekee dakika ya 45+3 ambalo limekuwa ni ngazi kwa Simba kutiga hatua ya nusu fainali Mapinduzi 2024. Januari 10 2024 inakwenda kupigwa nusu fainali ya kibabe kwa miamba hawa wawili ambapo Singida Fountain Gate wameweka wazi kuwa hawapo kinyonge tena. Ikumbukwe kwamba mchezo…

Read More

AZAM FC WAMEKWAMA KWA MARA NYINGINE TENA

KLABU bora Bongo Azam FC kwa mara nyingine tena wamekwama kufurukuta mbele ya  Singida Fountain Gate  katika Kombe la Mapinduzi kwa kuwa ni mara ya pili kufungashiwa virago na timu hiyo. Ikumbukwe kwamba Januari 8 2023 ubao wa Uwanja wa Amaan ulisoma Azam FC 1-4 Singida Fountain Gate katika hatua ya robo fainali zama hizo…

Read More

AKAUNTI ZAO ZINASOMA WAKATI HUU WA JANUARI

IKIWA ni Januari kukiwa na mambo mengi yakufanya yaliyojipanga kwa umakini na yote yakihitaji mkwanja kuna wanafamilia ya michezo wao Januari kwao imeanza na kicheko kwa kukunja mkwanja mrefu kutokana na kazi yao ya kuvuja jasho uwanjani. Hapa tunakuletea baadhi ambao wamefanya vizuri ndani ya Mapinduzi 2024 wakikunja mkwanja kibindoni kutoka kwa wadhamini, hivyo tu…

Read More

MWAMBA HUYU NI MNYAMA

 MWAMBA Ladack Chasambi ambaye ni kiungo ametambulishwa ndani ya kikosi cha Simba ikiwa ni ingizo jipya. Timu hiyo ya Simba chini ya Abdelhackh Benchika inatarajiwa kucheza mchezo wa hatua ya robo fainali dhidi ya Jamhuri kwenye Kombe la Mapinduzi leo Januari 8 2024. Ikiwa itapoteza kwenye mchezo wa leo itafungashiwa virago na kugotea mwisho kwenye…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE YATUMA UJUMBE HUU AZAM FC

NIZAR Khalfan, kocha msaidizi wa Singida Fountain Gate ameweka wazi kuwa hawatakubali kupoteza kwenye mchezo wa robo fainali dhidi ya Azam FC, unaotarajiwa kuchezwa leo Januari 8 2024. Ikumbukwe kwamba mwaka mmoja uliopita tarehe kama ya leo ilikuwa ni robo fainali kwa wababe hawa wanaokutana kwa mara nyingine ubao wa Uwanja wa Amaan ulisoma Azam…

Read More

Mchezo wa Kasino Mafia Clash, Kutana na Mwamba Anayelipa Zaidi

Tunakuletea mpambano wa mafia ambapo utakutana na bonasi za kasino zisizoweza kushindwa. Ni wakati wa kuchagua upande utakaokupeleka kwenye mizunguko ya mara nyingi. Furahia sherehe ya kipekee. Mafia Clash ni mchezo wa kasino ya mtandaoni inaotoa bonasi kibao kwa wachezaji, sloti hii imetengenezwa Hacksaw Gaming. Mchezo huu kutoka Meridianbet kasino ya mtandaoni una thamani inayoweza…

Read More

MUDA WA KAZI KWA TAIFA STARS NI SASA

TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kwa sasa ipo kambini ikiwa ni maandalizi ya mwisho kwa ajili ya AFCON 2023 inayotarajiwa kufanyika Ivory Coast. Hii sio kazi rahisi kwa wachezaji kwa kuwa kila timu inahitaji matokeo ndani ya uwanja katika dakika 90. Kila mchezaji anajukumu la kuhakikisha kwamba anapambania kombe na kufanya vizuri kila akipata…

Read More

MBWANA SAMATTA: MISRI NI WAPINZANI WAZURI

MBWANA Samatta nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa mchezo wao dhidi ya timu ya taifa ya Misri ni kipimo tosha katika kuelekea mashindano ya AFCON 2023. Ikumbukwe kwamba Januari 7 2024 timu ya taifa ya Tanzania ilicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Misri baada ya dakika 90 ubao ulisoma, Tanzania…

Read More

KIKOSI CHA TAIFA STARS AFCON 2023

HII hapa orodha ya kikosi cha mwisho cha wachezaji 27 cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kwa ajili ya michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2023) 1. Kwesi Zion Kawawa 2. Haji Mnonga 3. Mudathir 4. Bacca 5. Dickson Job 6. Feisal Salum 7. Himid Mao 8. Morice Abraham 9. Cyprian Kachele…

Read More

Kuwa Milionea Leo Hii na Mechi Hizi za FA

Ikiwa leo hii ni JUmapili tulivu kabisa, mechi za kombe la FA Uingereza linataka kukupa pesa endapo utabshiri na meridianbet kwnai huku kuna machaguo mengi sana ambayo unaweza ukachagua na yakakupatia mkwanja mnono. Ushindwe wewe tuu kujibweda. Mechi kubwa leo hii ni ile inayowakutanisha kati ya Arsenal dhidi ya Liverpool yani ni kivumbi na jasho….

Read More

SIMBA NA HESABU ZAO HIVI

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa malengo makubwa ya timu hiyo ni kufanya vizuri kwenye mechi zote ambazo watacheza. Kwa sasa Simba inashiriki Kombe la Mapinduzi ambapo imetinga hatua ya robo fainali ikivunja rekodi yake mbovu ya kukwama kufika katika hatua hiyo 2023. Ni mchezo dhidi ya Jamhuri itakuwa…

Read More