
ALIYEMKIMBIA MWENZAKE MZIZIMA DABI KUFAHAMIKA
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa itafahamika kuhusu suala la wao kudaiwa kwamba walikuwa wanamkimbia mpinzani wao Azam FC kwenye mechi za Ligi Kuu Bara. Leo Februari 9 2024 Simba inatarajiwa kucheza mchezo wa ligi dhidi ya Azam FC, Uwanja wa CCM Kirumba ikiwa ni mchezo wa kiporo. Mchezo…