
TAIFA STARS KAMILI KIMATAIFA, HALI YA HEWE TATIZO
KOCHA wa Timu ya Taifaya Tanzania, Taifa Stars, Hemedi Sulemaini amesema kuwa wachezaji wapo tayari kwa ajili ya mechi zinazowakabili licha ya hali ya hewa kuwa ngumu kidogo watazoea taratibu. Kocha huyo amebainisha kwamba taratibu wanaendelea kuwa kwenye mfumo kutokana na maandalizi ambayo wanafanya na imani ni kufanya vizuri kwenye mechi zao zote. Taifa Stars…