
UBINGWA WA CECAFA WALETA MATUMAINI KUELEKA CHAN, FA AFUNGUKA
NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma maarufu kwa jina la FA amebainisha kuwa timu ya Tanzania ipo vizuri. Hayo alisema mara baada ya Tanzania kupata ushindi dhidi ya Uganda. Mwinjuma amesema kwenye mpira wa miguu lolote linaweza kutokea. Ikumbukwe kwamba kwenye mashindano maalumu ya CECAFA ambayo yalishirikisha timu tatu, Tanzania, Uganda…