
AUCHO NDANI YA NYUMBA DHIDI YA KAGERA
KOCHA Mkuu wa Yanga amechukua maamuzi ya kuwabakisha Jijini Dar es Salaam mabeki wake tegemeo nahodha Bakari Mwamnyeto na Ibrahim Hamad ‘Bacca’ kwa hofu ya kujitonyesha majeraha huku kiungo mkabaji Khalid Aucho akiungana na msafara wa timu hiyo, baada ya kumaliza adhabu ya michezo mitatu. Kikosi cha Yanga jana alfajiri kilipanda Ndege kuelekea Mkoani Kagera…