DUBE ATOA MADAI MAZITO KWA VIONGOZI WA AZAM FC

Sakata la mshambuliaji Prince Dube limeingia sura mpya baada ya nyota huyo raia wa Zimbabwe kudai ndani ya klabu ya Azam viongozi wa klabu hiyo hufurahia mafanikio ya timu zingine badala ya timu yao! “Nahitaji kuchezea timu ambayo wachezaji na viongozi wana lengo moja. Viongozi wako Azam, lakini mioyo yao iko kwenye timu zingine wanazozisapoti,…

Read More

BOSI WA REAL MADRID MATATANI KISA KODI

Meneja wa klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti (64) anakabiliwa na kifungo cha takribani miaka mitano jela baada ya kutuhumiwa kwa makosa ya ulaghai wa kodi nchini Hispania. Waendesha Mashtaka wa Serikali wamemtuhumu Kocha huyo mwenye asili ya Italia kwa kutumia mfumo wenye kuchanganya chini ya Makampuni ya shell ili kuficha sehemu kadhaa za mapato…

Read More

KOCHA SIMBA AMESEPA

KOCHA Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha anatarajiwa kuondoka leo Machi 7 kwa ajili ya kuelekea nchini Algeria atakuwa huko kwa muda wa siku tano. Machi 6 Benchikha alishuhudia kikosi cha Simba kikipigishwa kwata na Tanzania Prisons kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba…

Read More

EUROPA KUTIMUA VUMBI LEO, PIGA PESA HAPA

Mpenzi mteja wa meridianbet hivi unajua kuwa leo hii ndio siku yako ya kupiga mapene ukibashiri na meridianbet kwani kila kitu kipo tayari kazi inabaki kwako tuu. Machaguo zaidi ya 1000, Turbo Cash. Beti sasa. Nyasi zitawaka hapa katika mechi ya Bayer Leverkusen ambao watakuwa ugenini dhidi ya Qarabag FK ambaye kushinda mechi hii amepewa…

Read More

AZAM FC WAPINDUA MEZA KIBABE

AZAM FC wamepindua meza kibabe baada ya kuambulia pointi moja mbele ya Coastal Union katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Azam FC 1-1 Coastal Union kwa wababe hao kugawana pointi mojamoja ambapo katika mzunguko wa kwanza Azam FC walivuna pointi tatu. Bao la Coastal Union lilifungwa na Semfuko…

Read More

Ifahamu Sayari ya 67 na Meridianbet Kasino

Anza safari kuelekea sayari ya mbali Zaidi nje ya ulimwengu huu kushuhudia maajabu ya nje ya dunia, safari hii itakupeleka mpaka sayari ya kujifikirika ya Planet 67 kupitia Meridianbet Kasino ya Mtandaoni. Planet 67 ni mchezo wa bingo wa kasino ya mtandaoni wenye nambari 90 ambapo wachezaji wanaweza kucheza hadi kadi 4 kwa kila duru…

Read More

MANGUNGU: SIMBA HAIJAUZWA, HAITOUZWA, MUULIZENI YEYE MO DEWJI!

MWENYEKITI wa Klabu ya   Simba, Murtaza Ally Mangungu amekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni hivi karibuni kuwa klabu hiyo imenunuliwa na mwekezaji Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’. Mangungu amesema hayo baada ya kipande cha video kusambaa mitandaoni kikimuonesha Mo Dewji akihojiwa na kueleza kuwa ameinunua Simba kwa dola milioni 20 (zaidi ya Tsh bilioni 51), jambo ambalo liliibua…

Read More

LIGI KUU BARA: SIMBA 1-2 TANZANIA PRISONS

FT: Mchezo wa ligi Simba 1-2 Tanzania Prisons Samson Mbagula goal dk 45, 62. Goal kwa Simba ni Fabrince Ngoma dk 89. AISHI Manula atajilaumu mwenyewe kwa kukaa kwa sekunde kadhaa akiwa langoni huku mpira ukiwa unaelekea langoni mwake na kumpa nafasi mpigaji kufunga kipindi cha kwanza. Samson Mbangula alitumia makosa ya Simba kuwa wengi…

Read More

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA TANZANIA PRISONS

MACHI 6 2024 kikosi cha Simba kina kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Tanzania Prisons mchezo utakaochezwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Aishi Manula, Shomari Kapombe, Israel Kwenda, Henock Inonga, Kennedy Musonda, Babacar Sarr, Mzamiru Yassin, Fabrice Ngoma, Freddy Michael, Clatous Çhama na Kibu Dennis. Benchi ni Ayoub Lakred, Zimbwe, Duchu, Kazi, Hamish, Ntibanzokiza, Chasambi,…

Read More

BINGWA LA JACKPOT LAPATIKANA MERIDIANBET

Hatimae mshindi wa ile Jackpot ya kibabe kabisa mjini chini ya mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet imepata mshindi wake, Ambapo amepatikana mshindi wa kiasi cha Milioni 10 baada ya kupata timu 12 kati ya 13 kwenye Jackpot. Mshindi huyo wa Jackpot ya Meridianbet anayefahamika kama Elia Erick kutoka mkoani Morogoro alifanikiwa kushinda kupatia michezo…

Read More

SIMBA KETE ZAKE ZA MOTO MACHI ZIPO NAMNA HII

KUNA kete za moto ndani ya kikosi cha Simba ambacho kina kazi nzito ya kusaka pointi tatu dhidi ya wapinzani wao ambao nao pia wanazihitaji pointi hizo tatu kwa namna yoyote ile kutoakana na ushindani wa ligi kuwa mkubwa. Wakiwa wameshatinga hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika kazi inatarajiwa kuendelea ndani ya Ligi…

Read More