
ULINZI UNYAMANI NI PASUA KICHWA
NDANI ya tatu bora msimu wa 2023/24 kikosi cha Simba kwenye ulinzi ni pasua kichwa baada ya kucheza mechi 25 kwenye mechi za ushindani. Ni Kariakoo Dabi mzunguko wa kwanza unaingia kwenye orodha ya mchezo ulikusanya mabao mengi kwa Simba mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Kwenye mchezo huo ubao ulisoma Simba 1-5 Yanga na pointi…