
BODABODA MBEZI BEACH AFRICANA WAFURAHIA UJIO WA MERIDIANBET
Jumatano ya leo ya mwezi Julai ya tarehe 16, Meridianbet ilifunga safari mpaka Africana huko Mbezi Beach na kutoa msaada wa Reflectors na Helmets kwa bodaboda wa eneo hilo na kuonesha nia yao ya kuwajali na kutambua umuhimu wao kwa jamii yetu inayotuzunguka. Meridianbet imeendelea kuonesha umuhimu wake kwa jamii yake kwani siku ya…