
Title:MERSEYSIDE MOTO UTAWAKA LEO
Usiku wa leo zitapigwa mechi mbalimbali kwenye ligi tofauti tofauti barani ulaya ila kwa kiwango kikubwa macho yatakua pale Uingereza kwenye dimba la Goodson Park kwenye mchezo wa Derby ya Merseyside. Derby ya Merseyside imemua moja ya derby zenye mvuto mkubwa nchini Uingereza kila ambapo inakua inapigwa, Lakini leo itakwenda kua na mvuto wa tofauti…