
TAIFA STARS INAZIDI KUIMARIKA TARATIBU
LEGEND kwenye upande wa uandishi wa Habari za Michezo na Burudani Bongo, Saleh Ally, Jembe ameweka wazi kuwa timu ya taifa ya Tanzania ya Taifa Stars inazidi kuimarika taratibu na mechi za kirafiki zitakuwa na faida hapo baadaye kwenye mashindano ya kitaifa na kimataifa. Jembe amebainisha kuwa licha ya Stars kuanza kwa kuchechemea kwenye mchezo…