
FIFA YAIONDOLEA YANGA ADHABU YA KUFUNGIWA KUSAJILI WACHEZAJI
Shirikisho la Kimataifa wa Miguu (FIFA) limeiondolea Yanga adabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya klabu hiyo kurekebisha upungufu uliojitkeza katika Uhamisho wa wachezaji.
Shirikisho la Kimataifa wa Miguu (FIFA) limeiondolea Yanga adabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya klabu hiyo kurekebisha upungufu uliojitkeza katika Uhamisho wa wachezaji.
Leo hii Senegal, DR Congo, Mali, Egypt na timu nyingine kibao zinashuka dimbani kusaka pointi tatu kwaajili ya kujiandaa na Kombe la Dunia 2026. Nani unamdhamini kukupatia maokoto?. Suka jamvi lako na merdiainbet sasa. Senegal yenye kikosi cha ushindi kitakuwa dimbani kukiwasha dhidi ya DR Congo. Timu hiyo ina wachezaji wazoefu na ambao wanacheza ligi…
INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Azam FC mguu wake wa dhahabu ni ule wa kulia kutokana na kasi yake kuwa katika ubora ndani ya uwanja. Nyota huyo alikuwa akipambana na mwamba Aziz Ki kwenye kutupia mabao uwanjani na mwisho msimu wa 2023/24 ikajulikana kuwa mkali ni Aziz Ki ambaye alitupia mabao 21 akiwa ni…
MWAMBA Aziz Ki ana balaa ndani ya uwanja kutokana na kasi yake kuzidi kuwa imara katika uwanja kila wakati. Rekodi zinaonyesha kuwa amefunga jumla ya mabao 30 ndani ya ligi tangu alipotua Yanga msimu wa 2022/23 na sasa ni 2023/24. Ni mabao 9 alifunga msimu wake wa kwanza na msimu wa 2023/24 katupia mabao 21…
MABINGWA wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 Yanga inayodhaminiwa na SportPesa ipo kwenye hesabu za kuwaacha baadhi ya mastaa ambao hawajafanya vizuri na wengine watasepa baada ya kandarasi zao kugota mwisho. Miongoni mwa wale ambao wanatajwa kwamba hawatakuwa ndani ya kikosi hicho ni Metacha Mnata, Skudu, Joyce Lomalisa.
KWENYE funga kazi ya msimu wa 2023/24 ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu Juma Mgunda mwamba wa kazi Saido Ntibanzokiza alikiwasha. Pengine kazi yake ingekuwa hivyo tangu mwanzo wa msimu alikuwa na nafasi ya kuvunja rekodi yake ya msimu wa 2022/23 kwa kutupia mabao 17 lakini upepo ulikuwa tofauti. Kiungo mshambuliaji wa…
20 Imperial Crown Deluxe ni mchezo wa kasino mtandaoni unaohusu matunda, mchezo huu una safu tano zilizopangwa katika mistari mitatu yenye mistari 20 ya malipo. Ili kushinda, lazima uunganishe alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mstari wa malipo. Alama ya Lucky 7 ndiyo isiyofuata sheria hii na huleta malipo popote inapoonekana kwenye safu zilizopangwa. Kila…
Kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPESA ambayo ni Mdhamini Mkuu wa klabu ya Yanga imeikabidhi klabu hiyo mfano wa Hundi yenye thamani ya milioni 537.5 kama bonasi ya mafanikio ya klabu hiyo msimu uliomalizika. βLeo tunakabidhi mfano wa Hundi kwa Klabu ya Young Africans SC kama BONUS ya mafanikio ya msimu. Hundi hii ina…
MALALE Hamsini, Kocha Mkuu wa JKT Tanzania amesema kuwa ushindi kwenye mchezo wa kwanza wa play off dhidi ya Tabora United ni matokeo ya wachezaji kufanyia kazi makosa yaliyopita. Timu hiyo inapambana kujinusuru kubaki ndani ya ligi ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi ukisoma Tabora United 0-4 JKT Tanzania. Kwenye mchezo ni Said…
KIUNGO mchezeshaji wa Yanga, Muivory Coast Pacome Zouzoua amepanga kuwa na msimu mzuri katika msimu ujao, ikiwemo kuendelea kuipa mataji timu hiyo. Nyota huyo ni kati ya wachezaji walitoa mchango mkubwa katika kikosi hicho, ikiwemo kutetea Ubingwa wa Ligi Kuu Bara na kuifikisha timu katika hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa msimu huu….
VITA ile iliyokuwa ikisaka mshindi mmoja ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2023/24 imebaki gumzo baada ya kugota mwisho na mshindi kupatikana. Kwenye mechi 30 ambazo ni dakika 2,700 kila kona walikamatana jambo ambalo liliongeza ushindani ndani ya uwanja kwa wababe hao wawili Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu Yusuph Dabo na Simba…
KAZI imeanza baada ya msimu wa 2023/24 kugota mwisho kuna mastaa ndani ya Simba wanasepa huku wengine wakianza kuaga wakiongozwa na nahodha John Bocco mshambuliaji bora wa muda wote.
BAADA ya msimu wa 2023/24 kugota mwisho timu zipo kwenye kusoma ripoti na kuangalia kipi ambacho watakifanya kuboresha timu zao kwa msimu wa 2024/25 ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Tayari Azam FC wameanza kazi kwa kutambulisha nyota wapya ambao watakuwa ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2024/25 ambapo Azam FC na Yanga zitakuwa…
Unaambiwa huko Meridianbet Bosi hataki mchezo, ile Promosheni ya shindano la Expanse si unaijua? Basi Pesa zimeongezeka kwa washindi na sasa dau limefikia Tsh Milioni Nne, Laki Saba na Elfu Hamsini. (4,750,000/=). Ili kushiriki kwenye shindano hili la kasino ya mtandaoni, Jisajili hapa. Shindano la Expanse ndani ya Meridianbet litatoa zawadi na bonasi za kasino…
UONGOZI wa Azam FC umekubali kumuachia kiungo wake mshambuliaji, Feisal Salum kwenda katika klabu itakayomuhitaji katika msimu ujao kwa dau la Sh 5Bil. Kiungo huyo anatajwa katika usajili wa Simba ambayo imepanga kufumua kikosi chao na kukiimarisha ili kirejeshe makali yake msimu ujao. Simba ndani ya misimu mitatu mfululizo imeshindwa kubeba ubingwa wa Ligi Kuu…
Msimu wa mashindano ya CAF Interclub 2024/25 utaanza kwa raundi ya awali kati ya tarehe 16 Agosti hadi 18 Agosti, 2024 huku hatua za makundi zikipangwa kufanyika kati ya mwezi Oktoba hadi mwezi Desemba mwaka 2024. Klabu ya Yanga itaanza kampeni zake za Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye raundi ya pili michuano hiyo na wataanzia…
Mabingwa wa ubashiri Tanzania, Meridianbet inakwambia kuwa usiwaze kutafuta chimbo la kusuka jamvi lako leo hii. Mechi kibao za pesa zinachezwa kuanzia kule Brazil mpaka Argentina. Unasubiri nini? Ingia na usuke jamvi lako sasa. Argentine Liga Profesional kuendelea kwa michezo kadhaa saa 3:00 usiku Barracas Central atakuwa nyumbani kusaka pointi tatu dhidi ya CA Huracan…