Ratiba ya mechi za kimataifa Simba SC, Yanga SC, SBS na Azam FC, muda na Azam TV
WIKIENDI itakuwa bize kutokana na kazi kubwa kwa wawakilishi wa Tanzania kwenye anga la kimataifa kusaka ushindi kwenye mechi ambazo watashuka uwanjani. Hapa tunakuletea ratiba za mechi hizo na muda utakaochezwa kwa saa za Afrika Mashariki namna hii:- Ligi ya Mabingwa Afrika Jumamosi, Yanga SC watakuwa Uwanja wa Bingu nchini Malawi dhidi ya Silver Striker,…