PABLO YUPO DAR TAYARI KUINOA SIMBA
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba leo Novemba 10 amewasili Dar kwa ajili ya kujiunga na timu hiyo inayowania kutetea taji la Ligi Kuu Bara. Kocha huyo amekuja kuchukua mikoba ya Didier Gomes ambaye alibwaga manyanga kutokana na kushindwa kutimiza lengo la kwanza la timu hiyo la kutinga hatua ya makundi kwenye Ligi ya Mabingwa…