RUVU SHOOTING HESABU ZAO HIZI HAPA
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa ubora wa kikosi ambacho eanacho kwa sasa hawana wasiwasi na mechi za Ligi Kuu Bara. Bwire amebainisha kuwa wanajivunia kutokana na kutumia kikosi kazi chenye wazawa huku wakiwa na malengo ya kufanya vizuri katika kila mechi. “Tuna wachezaji wazuri ambao wana uwezo mkubwa na kila…