
MERIDIANBET WACHANGIA UBORESHAJI KITUO CHA POLISI MTONGANI
Meridianbet wameshirikiana na Polisi, kituo cha Mtongani Police Post Kuboresha muonekano wa kituo hicho kwa kupaka rangi, ikiwa ni moja ya jitihada zao za kurejesha kwa Jamii. Kampuni ya Meridianbet, ambayo ni Kampuni kongwe zaidi ya ubashiri Tanzania, ambayo ina masoko mengi ya Ubashiri imekuwa ikishiriki shughuli mbali mbali za kijamii. Ikiwa ni pamoja na…