
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mechi zao zijazo na kurejesha shukrani kwa mashabiki ambao wamekuwa wakijitokeza kwa wingi uwanjani. Manara amesema:”Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya matokeo ambayo tunayapata kwenye mechi zetu za Kombe la Shirikisho pamoja na mechi za ligi. “Ushindi huu unahanikizwa na kila Mwanayanga…
ZAKARIA Thabit, Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa kesho dhidi ya Coastal Union hivyo mashabiki wajitokeze kwa wingi. Kwenye msimamo ikiwa nafasi ya 3 na pointi 24 itamenyana na Coastal Union iliyo nafasi ya 11 na pointi 17 zote zimecheza mechi 15. Thabit amesema:”Mashabiki waje mapema…
MACK Yanga, shabiki wa Yanga amesema kuwa Yanga ni tamu,amewazungumzia wapinzani wake Simba pia ambao wanaiwakilisha nchi kwenye mashindano ya kimataifa. Februari 27 Yanga ilishinda mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Mkapa na watupiaji walikuwa ni Fiston Mayele aliyetupia mawili na Said Ntibanzokiza.
ABBAS Tarimba, Mkurugenzi wa Utawala na Uthibiti katika kampuni ya kubashiri ya SportPesa, Tanzania amesema kuwa mwenye timu nzuri atashinda huku akiweka wazi kuwa matokeo ya semina yameanza kuonekana.
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
KIKOSI cha Yanga kimesepa na pointi tatu mbele ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Ni mabao matatu ambayo yamefungwa kwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Fiston Mayele ametupia mabao mawili na pasi moja ya bao, amefunga dk 30 na 50 pasi kampa mshikaji wake Said Ntibanzokiza…
DICKOSN Ambundo,beki wa Yanga ni miongoni mwa nyota ambao wataukosa mchezo wa leo Februari 27 dhidi ya Kagera Sugar. Job ambaye ni beki wa kati anaukosa mchezo wa leo kutokana na kuwa kwenye mwendelezo wa kutumikia adhabu ya kifungo cha mechi tatu ambacho alipata kutokana na kucheza mchezo usio wa kiungwana mbele ya Richardson Ng’odya…
LEO Uwanja wa Mkapa itakuwa ni vita ya kisasi kwa Kagera Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu Francis Baraza v Yanga inayonilewa na Nasreddine Nabi katika mchezo wa mzunguko wa pili. Yanga ni vinara katika mchezo wa kwanza walishinda bao 1-0 Uwanja wa Kaitaba na mtupiaji alikuwa ni Feisal Salum ambaye leo ataukosa mchezo kutokana na…
FISTON Mayele mzee wa kutetema dozi yake anayotoa kwa kuwatungua wapinzani wake ni mwendo wa mojamoja kwa kuwa hakuna timu ambayo ameifunga mabao Zaidi ya mawili. Akiwa ametupia mabao 7 ni KMC walianza kutunguliwa na langoni alikuwa amekaa Faroukh Shikalo kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Majimaji,Songea. Azam FC ilikuwa timu ya pili kufungwa kisha ikafuata…
HERITIER Makambo ndani ya Yanga amecheza mechi 11 kwa msimu wa 2021/22 bila kufunga kwenye mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara. Yanga ni namba moja kwenye safu ya ushambuliaji yenye mabao mengi ikiwa imetupia mabao 25 na mtupiaji namba moja ni Fiston Mayele mwenye mabao 7 na pasi mbili za mabao. Kwa upande wa Makambo…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba unahitaji pointi tatu kwenye mchezo wa leo dhidi ya Kagera Sugar unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Hassan Bumbuli, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kwamba wanahitaji kupata pointi tatu mbele ya Kagera Sugar kwa kuwa mchezo ni mgumu na wanaamini watapata ushindi. “Mchezo wetu dhidi ya Kagera Sugar utakuwa…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili
KMC leo imelipa kisasi mbele ya Polisi Tanzania kwa kuwatungua mabao 3-0 na kusepa na pointi tatu mazima. Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza walipokutana Uwanja wa Karatu, ubao ulisoma Polisi Tanzania 2-0 KMC na kuwafanya waweze kusepa na pointi tatu mazima. Katika mchezo wa leo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, ubao umesoma KMC 2-0…
BONDIA Hassan Mwakinyo amesema kuwa bondia Bongani Mahlangu ambaye alizichapa na Tony Rashid kwenye usiku wa vitasa ni moja ya mabondia wazuri.
FEISAL Salum, kiungo mwenye uwezo wa kutumia miguu yote miwili kufunga pamoja na mikono amekutana na jambo litakalomfanya kesho aukose mchezo wa ligi dhidi ya Kagera Sugar. Nyota huyo anakumbukwa kwamba alikuwa ni nyota wa kwanza ndani ya Yanga kwa msimu wa 2021/22 kufunga bao la mkono mbele ya Mtibwa Sugar, Uwanja wa Manungu na…