
YANGA YAIPIGIA HESABU AZAM FC
CEDRICK Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa mchezo wao ujao dhidi ya Azam FC utakuwa mgumu lakini wanahitaji pointi tatu muhimu. Baada ya kucheza mechi 18 ni pointi 48 wamekusanya wakiwa nafasi ya kwanza wanatarajia kumenyana na Azam FC Jumatano ya Aprili 6,2022. Kwenye msimamo Azam FC ipo nafasi ya tatu na pointi 28…