
MECHI YA AZAM V SIMBA HATIHATI MISRI
ABDI Hamid Moallin,Kocha Mkuu wa Klabu ya Azam FC ameweka wazi kuwa kunahatihati ya mchezo wao wa kirafiki dhidi ya Simba kutochezwa kulingana na ratiba kuwabana. Azam FC imeweka kambi nchini Misri sawa na Simba ambazo zote ni za Tanzania ikiwa ni kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2022/23. Moallin amesema kuwa mpango mkubwa…