
KOCHA YANGA AITAMANI REKODI YA SIMBA CAF
KOCHA wa makipa wa Yanga, Mbrazili, Milton Nienov, ameweka wazi kuwa, ndoto yake ni kuona anafikia rekodi aliyoiweka akiwa na Simba ya kufika angalau robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu. Mbrazili huyo ameweka wazi kuwa, wana nafasi kubwa ya kufikia mafanikio hayo kutokana na ubora wa kikosi walichonacho msimu huu. Katika michuano…