KMC HAWANA JAMBO DOGO, HIKI WANAKITAFUTA

 UONGOZI wa KMC umeweka wazi kuwa unahitaji kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara ulio mikononi mwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. KMC chini ya Kocha Mkuu, Hitimana Thiery imekusanya pointi 13 baada ya kucheza mechi 8 za ligi, imeshinda tatu, sare nne na imepoteza mchezo mmoja ikiwa nafasi ya tatu.  Christina Mwagala, Ofisa…

Read More

DAKIKA 90 ZAKIBABE KARIAKOO DABI

DAKIKA 90 za Kariakoo Dabi kila mmoja kasepa na pointi moja baada ya sare ya kufungana bao 1-1 Uwanja wa Mkapa. Simba walianza dakika ya 14 kupitia kwa Augustino Okra ambaye alionyeshwa kadi ya njano na mwamuzi Ramadhan Kayoko kwa kosa la kushangilia akiwa amevua jezi. Ngoma iliwekwa usawa na Aziz KI kwa pigo huru…

Read More

MDAKA MISHALE NA AIR MAULA KIMATAIFA WAMEKIMBIZANA

MDAKA mishale wa Yanga, Djigui Diarra, kwenye anga la kimataifa amekimbizwa na Aishi Manula maarufu Air Manula wa Simba. Katika mechi nne za Ligi ya Mabingwa Afrika ambazo Yanga na Simba zimecheza msimu huu, Diarra katunguliwa mabao mawili, huku akiwa na clean sheet mbili. Alifungwa bao mojamoja dhidi ya Al Hilal nyumbani na ugenini kwenye…

Read More

BOFYA MARA MOJA TU, UIBUKE MSHINDI SIMU MERIDIANBET

Kila mmoja ni bingwa kwenye uwanja wake, na Meridianbet wanakupa nafasi ya kutamba kibingwa kwa kuibuka mshindi wa zawadi zao kibao. Meridianbet wamekusogezea ofa kubwa kwa mchezaji mpya kabisa wa Meridianbet, wakati wachezaji wakongwe wakiendelea kufurahia ofa lukuki kwenye ubashiri wao. Umewahi kukutana na Bonasi ya Ukaribisho Kubwa Kama Hii? Meridianbet pekee, wanakupa nafasi ya…

Read More

IKAWE KARIAKOO DABI YENYE UTULIVU MKUBWA

WAKATI mwingine furaha huwa inabebwa na maumivu jambo ambalo linafanya maisha yaendelee kuwa maisha hakuna namna ni hali halisi ilivyo. Ikiwa upo kwenye mazingira mazuri basi huo uzuri acha uendelee kunogeshwa na yale ambayo yatatokea ndani ya Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga dhidi ya Simba. Hakika unatarajiwa kuwa…

Read More

HUYU HAPA AMEANDALIWA NA SIMBA KUIMALIZA YANGA

MENEJA wa Habari wa Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema wamempa jukumu mshambuliaji wao tegemeo Mzambia Moses Phiri la kuwalipua watani wao wa jadi, Yanga. Hiyo ni katika kuelekea mchezo wa raundi ya Kwanza ya Ligi Kuu Bara ambao utapigwa kesho Jumapili kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar. Mchezo huo muhimu kwa kila timu, Yanga…

Read More

WACHEZAJI YANGA WAMETOA AHADI HII KWA MABOSI

WACHEZAJI wa Yanga kwa pamoja wamewaahidi viongozi wa timu hiyo, kupambana kwa dakika 90 ili kuhakikisha wanarejresha imani ya mashabiki katika Kariakoo Dabi. Dabi hiyo inatarajiwa kuzikutanisha Simba dhidi ya Yanga katika mchezo wa raundi ya kwanza ya Ligi Kuu Bara utakaochezwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar. Ni Jumatatu timu ilirejea kambini Kijiji…

Read More