
MTANZANIA IBRA CLASS, MMEXICO PINA KUMALIZA UBISHI LEO
BONDIA Mtanzania Ibrahim Class anakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa mpinzani wake kutoka Mexico, Gustavo Pina katika pambano la kimataifa la uzito wa feather litakalofanyika leo kwenye ukumbi wa Mlimani City. Akizungumza mara baada ya kupima uzito jana, Pina alisema kuwa kamwe hawezi kupoteza mapambano mawili mfululizo na amekuja ili kurekebisha rekodi yake baada ya…