SIMBA YASHINDA UGENINI, MANULA ATUNGULIWA

WAKIWA ugenini leo Oktoba 9,2022 Simba imeshinda kwa jumla ya mabao 3-1 dhidi ya de Agosto kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Bao la mapema kwa Simba lilifungwa na Clatous Chama dakika ya 8 akitumia pasi ya Agustin Okra. Bao la pili ni mali ya Israel Mwenda ambaye ni beki alipachika bao hilo dakika…

Read More

UZOEFU KUMBE UNAWABEBA MASTAA YANGA

UZOEFU wa nyota wa kimataifa waliopo ndani ya kikosi cha Yanga ikiwa ni pamoja na Djuma Shaban, Yannick Bangala na Tuisila Kisinda ni sababu ya Yanga kuwa imara. Chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi, Yanga imecheza mechi 42 za ligi bila kupoteza na jana wametoka kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1Al Hilal.  Kocha Mkuu wa…

Read More

YANGA YATOSHANA NGUVU NA AL HILAL KWA MKAPA

DAKIKA 90 zimekamilika, Uwanja wa Mkapa kwa timu zote mbili kutoshana nguvu kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Ubao umesoma Yanga 1-1 Al Hilal, mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya Pili, mchezo ujao Yanga wanakibarua cha kusaka ushindi ugenini ili kukata tiketi ya kutinga hatua ya makundi. Watupiaji ni Fiston Mayele dakika…

Read More

FIFA YAITAKA YANGA ILIPE FAINI KWA EYMAEL

IMEELEZWA kuwa Yanga wameambiwa wamlipe Luc Eymael aliyekuwa kocha wa timu hiyo msimu wa 2020 kiasi cha dola milioni 152 za kimarekani. Taarifa kutoka Shirikisho la Soka Kimataifa, (FIFA) imeeleza kuwa Yanga wamepewa siku 45 kulipa fedha hizo. Ikiwa watakwama kukamilisha shauri hiyo kwa muda wa siku 45 watapewa adhabu ya kufungiwa kufanya usajili kwenye…

Read More

KIMATAIFA KAZI IFANYIKE KWELI NGOMA NI NZITO

IKIPIGWA sana ngoma mwisho inashindwa kuhimili mikikimikiki hiyo inagotea kwenye kupasuka jambo litakaloifanya iepukane na suala la kupigwa kwa mara nyingine. Uzuri ni kwamba kwenye suala la upigaji na yule anayepiga lazima atambue kwamba itafika muda na yeye atapigwa tu kwani kuimba ni kupokezana. Katika Ligi ya Mabingwa Afrika tunaona kwamba wawakilishi wetu kimataifa wanatamba…

Read More

SIMBA WAKWEA PIPA KUWAFUATA WAPINZANI KIMATAIFA

MSAFARA wa wachezaji 24 wa kikosi cha Simba leo mapema Oktoba 8,2022 wamekwea pipa la kukodi kuelekea Angola. Ni kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya de Agosto unaotarajiwa kuchezwa kesho, Oktoba 9, Uwanja wa Novemba 11 uliopo Angola. Miongoni mwa wachezaji ambao wapo kwenye msafara huo ni kipa namba moja…

Read More