
AZAM FC WANAZITAKA POINTI TATU ZA KMC
HASHEEM Ibwe, Ofisa Habari wa muda ndani ya Azam FC ameweka wazi kuwa wanawaheshimu wapinzani wao KMC lakini pointi zao tatu wanazitaka jambo linalowafanya wajiandae vizuri. Ibwe amepewa majukumu kwa muda akichukua mikoba ya Zakaria Thabit ambaye amefungiwa kutojihusisha na masuala ya soka kwa muda wa miezi mitatu na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa…