
MABONDIA NYOTA WA AFRIKA KUZICHAPA NA WAMAREKANI SUPER DOME BOXING
MABONDIA nyota wa Afrika na Marekani watashiriki katika pambano ya Super Dome Boxing yaliyopangwa kufanyika Novemba 4 kwenye ukumbi mpya wa kisasa wa Super Dome Arena. Mapambano hayo yameandaliwa kwa ushirikiano wa kampuni yenye uzoefu mkubwa wa kuandaa ngumi za kulipwa duniani, Global Boxing Stars kwa ushirikiano na kampuni ya Tanzania, LP Sport chini ya…